fagix JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 741 Reaction score 563 Dec 26, 2015 #1 Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni
M Mbilikimo Mfupi JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 981 Reaction score 1,225 Dec 26, 2015 #2 fagix said: Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni Click to expand... Ngoja wakuu waje, subiri bado wamepumzika
fagix said: Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni Click to expand... Ngoja wakuu waje, subiri bado wamepumzika
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,284 Dec 26, 2015 #3 fagix said: Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni Click to expand... Kama uko vizuri unaweza cheki moja inaitwa Adobe Illustrator Draw, So far mi ndo natumia na inafanya vizuri coz paths zote ni vector, haifanyi image rasterization so ukichora unaweza zoom in bila kupoteza quality kwenye ukubwa wowote ule.
fagix said: Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni Click to expand... Kama uko vizuri unaweza cheki moja inaitwa Adobe Illustrator Draw, So far mi ndo natumia na inafanya vizuri coz paths zote ni vector, haifanyi image rasterization so ukichora unaweza zoom in bila kupoteza quality kwenye ukubwa wowote ule.