Msaada:App ya kublock SMS na Calls

Msaada:App ya kublock SMS na Calls

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,729
Reaction score
8,803
Wanateknolojia habari ya j2

Kama mada inavyojieleza

Naomba mnijuze app nzuri ambayo nikiiweka kwenye simu yangu nazuia SMS na calls zisiingie kabisa kwenye simu yangu.

Kuna baadhi ya app ukiweka unaona msg imeingia na mtu akipiga inaanza kuita then inasema simu inatumika.

Sasa ombi langu nipate app ambayo MTU akituma msg kwangu inafail kuja kabisa na calls haziingii kabisa

Asanteni na J2 njema
 
install Truecaller
 
Back
Top Bottom