Msaada: App ya Anybooks haifanyi kazi

Msaada: App ya Anybooks haifanyi kazi

Fuunay

New Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Kwa Muda Nimetumia app inaitwa anybooks kusoma Vitabu lakini Kwa sasa haifanyi Kazi. Inaandika saver not found /Error.

Msaada tafadhali
 
Nimejaribu kufanya hvo, bado tatizo linaendelea
 
Baada ya anybooks kunizingua, nilitafuta nyingine inaitwa readEra iko vizuri sana... Ila hii vitabu udownload kwenye site nyingine, yenyewe ni kusomea tu.
 
Back
Top Bottom