Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,572 Reaction score 1,780 Mar 22, 2016 #1 Nimenunua laini mpya ya halotel nimefika nyumbani Internet haiendi nimegundua kwamba sehemu ya kujaza APN ipo wazi. Naomba mnisaidie jinsi ya kujaza.
Nimenunua laini mpya ya halotel nimefika nyumbani Internet haiendi nimegundua kwamba sehemu ya kujaza APN ipo wazi. Naomba mnisaidie jinsi ya kujaza.
Nelson Kileo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 3,062 Reaction score 3,280 Mar 22, 2016 #2 Apn name andika Halotel wap Chini baada ya Name jaza internet ...kisha Save...restart Simu ..basi
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Mar 22, 2016 #3 Name=Halotel APN = b-internet APN type= default
achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Mar 22, 2016 #4 Mimi huwa najaza ifuatavyo APN: halotel Name: b_internet
achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Mar 22, 2016 #5 Fuata hiyo ya PNC 1, nilichanganya
Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,572 Reaction score 1,780 Apr 2, 2016 Thread starter #6 Asanteni wadau, kweli Jf ni mahali pa kuponea.
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Apr 3, 2016 #7 We andika tu internet apo kweye APN usisahau juu kwenye server name alafu kaangalie APN type weka default,mms kisha save kwisha kazi
We andika tu internet apo kweye APN usisahau juu kwenye server name alafu kaangalie APN type weka default,mms kisha save kwisha kazi