Msaada: Android version 4.2.2

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,170
Reaction score
1,356
Wakuu inawezekana ku-force app inayotumika katika katika Android version 4.4 itumike kwenye Android version 4.2.2?

Kama inawezekana naomba msaada tafadhali.
 
Wakuu inawezekana ku-force app inayotumika katika katika Android version 4.4 itumike kwenye Android version 4.2.2?

Kama inawezekana naomba msaada tafadhali.

App inapoundwa, developer anachagua minimum sdk iwe ngapi, kama alichagua 4.4, no way inawezafanya kazi kwa 4.2.2
 
Cha kufanya ungechange kifaa saiz ungechukua android version 6 kwenda juu auwezi pata shida kama izi
 
Hiyo simu iroot ili uweke custom rom hata ya android 6 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…