nliwahi kusoma somewhere kua huwezi kudownload na kuinstall setup yakeVery xmple.. Download kwa kutumia Pc au Unaweza ukatumia Browser ya smu yako ukasearch setup{a.p.k } yake ukaidownload .. Na ukistal vzur tu
NB..kama syo mchna
nliwahi kusoma somewhere kua huwezi kudownload na kuinstall setup yake
then siku hizi kuna store nyingi ipo ya opera, getjar, amazon, 1market na nyengine nyingi.
Ubaya wa hizi ni updates mkuu lazima ungojethen siku hizi kuna store nyingi ipo ya opera, getjar, amazon, 1market na nyengine nyingi.
hizi.zote unawezana kudownload Application kama Playastore kwa.Android kaka!!! msaada!!!
Ubaya wa hizi ni updates mkuu lazima ungoje
unaweza ndio sema sio nzuri kama playstore.
link ya playstore hii hapa click button imeandikwa download now nineitest imekubali kwenye simu yangu
Zippyshare.com - com.android.vending-4.3.11.apk
nimepakua nika install but inajizima yenyewe na kunietea ujumbe huu "unfortunatety, google play store has stopped" tatizo ni nini hapa!?
unaweza ndio sema sio nzuri kama playstore.
Samahan Chief-Mkwawa & others, natumia galaxy gt-s7562.
Tatizo ni kuwa Play Store sasaivi haifunguki(inanipa ujumbe "connection timed out"), Youtube, Internet, JF, fcbk zote zinagoma. Only Opera, WhtsApp & Twitter zinafunguka.
Kuhusu network mara nyingi naweka 3G. Kwa experience ulonayo, simu ina tatizo gani na suluhisho ni nini?
Nawasilisha.
watu weng maeneo tuliopo n xawa tuna acess ya internet lakn hatujui uwezo wake..playstore mara nyng haiitaji network ya kusuasua nandomaana inazngua..pia Kuactivate 3G syo kwamba xmu yako itashka 3G.Inaweza kuwa inaonesha ndyo 3G lakn kumbe n 2G kulngana na network huska ktk kuprovde hyo huduma ya net..Kwa hyo kaa ukjua hlo xyo tatzo la xmu n network ynyw. Sjajua unatumia net ip na upo mkoa gan ?

Ushauri wako ni mzuri.......
Tatizo ni uandishi wako, kumbuka ujumbe wako unasomwa na maelfu ya watu wa rika tofauti.!!
Nipo Morogoro mjini, notification huwa inaonesha H-nadhani ni HSDPA(natumia Vodacom) na kwenye Opera baadhi ya shughuli ikiwepo downloads huwa ziko faster. Kinachonishangaza ni kuwa siku za nyuma nikiwa mji huu huu niliweza kuinstall hizo Apps na zote nilikuwa nazitumia & kuzi update(sidhani kwa network ya kusuasua ningefanikisha hayo yote Ndugu Abloodi), kwanini mambo yanaenda mrama since mid-August!!!!!