Msaada anayejua bei ya router toka TTCL

Msaada anayejua bei ya router toka TTCL

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
406
Reaction score
352
Kwa ajuae nitashukuru akinifahamisha bei ya router ya TTCL au mwenye uzoefu wa package ya T- Connect naomba tu share uzoefu wa hiyo huduma. Natanguliza shukrani.
 
Kuna router ya 210000 ambayo inauwezo wa kuconnect watu 32 ukinunua hiyo unapata GB 60 Free kutumia mwezi mzima

Kuna router ya 150000 inaconnect watu 10 hiyo inakuja na GB 15 mwezi free

Kuhusu bei za vifurushi ingia tovuti yao
www.ttcl.co.tz
 
Back
Top Bottom