The Boss, mwaka gani ulikaa hapo Kiungani ?
Mimi nilikuwa Simba pia, Wingi namba Moja pale chini karibu na laundry....
Dah, Umenikumbusha longi kichizi... Wingi namba Nne kule juu Kuna vyoo na bafu tulikuwa tunaita KAKUNYU, sijui Enzi zenu mlipaitaje. Enzi zetu KAKUNYU palikuwa hapaogei tena ni chimbo la Msuli na kupiga Vyuma