Baadae watataka wewe ndo uwape hela kwanzà, kama wewe unataka kuwa boss wao wape hela.Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii websites ni mtandao wa nje ambao watu huutumia kutafuta kazi kwa sababu Kuna kazi nyingi huwa zinapostiwa
Na zingine anasema zina visa sponsorship kwa wale wanaotokea nji za mbali na kazi husika ilipo naombeni msaada kwa anayeifahamu hii Indeed vizuri Kama ana kitu chochote anachokifahamu ili tuwe makini wakati tunajiingiza humo maana elimu ni bahari naomba kuwasilisha
View attachment 2945160
• Asilimia 90% wazamiaji wameishiaUmenena vizuri lakn vijana changamoto nyingi kuliko unavyodhani
Nimekuelewa kaka• Asilimia 90% wazamiaji wameishia
1- kupigwa Bastora za kichwa.
2- kuwa machokara, kulala kwenye majalala.
3. Usitegemee ukienda huko, kuna mtu atakupa support.(utakumbuka hata viporo vya ugali huku Tz.
Alafu kingine...
. Nikiangalia nauli ya kwenda huko si chini ya 350,000/-
. 350,000/- ni mtaji mkubwa sana, ukiweka ubaro-baro Pembeni..
• Asilimia 90% wazamiaji wameishia