F fisi 2 JF-Expert Member Nov 2, 2010 3,273 4,626 Aug 24, 2017 #1 Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
N Nikupateje JF-Expert Member Dec 22, 2009 1,334 989 Aug 24, 2017 #2 Yule mgiriki Pappirus aliyecharazwa viboko na kufungwa kwa kusema "serikali yote ya Nyerere iko mfukoni mwangu". Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mgiriki Pappirus aliyecharazwa viboko na kufungwa kwa kusema "serikali yote ya Nyerere iko mfukoni mwangu". Sent using Jamii Forums mobile app
F fisi 2 JF-Expert Member Nov 2, 2010 3,273 4,626 Aug 24, 2017 Thread starter #4 Nikupateje said: Yule mgiriki Pappirus aliyecharazwa viboko na kufungwa kwa kusema "serikali yote ya Nyerere iko mfukoni mwangu". Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... No clear. laki si pesa. said: Sumaye na Lowasa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupateje said: Yule mgiriki Pappirus aliyecharazwa viboko na kufungwa kwa kusema "serikali yote ya Nyerere iko mfukoni mwangu". Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... No clear. laki si pesa. said: Sumaye na Lowasa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
F fisi 2 JF-Expert Member Nov 2, 2010 3,273 4,626 Aug 24, 2017 Thread starter #5 Kama hujui funga bakuli lako. Hapa nimeomba seriously. Sent using Jamii Forums mobile app
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,607 Aug 24, 2017 #6 Rais wa TFF yuko mahabusu... na we jamaa waliokua wanafagia barabara sijui ni kina yona Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa TFF yuko mahabusu... na we jamaa waliokua wanafagia barabara sijui ni kina yona Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Aug 24, 2017 #7 Swali lako mbona ni la karne ijayo?
Kivumah JF-Expert Member Jan 7, 2008 2,428 1,050 Aug 24, 2017 #8 fisi 2 said: Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ingia kwenye website ya TAKUKURU yapo. www.pccb.go.tz
fisi 2 said: Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ingia kwenye website ya TAKUKURU yapo. www.pccb.go.tz
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,196 Aug 24, 2017 #9 laki si pesa. said: Sumaye na Lowasa Click to expand... Ndo mabasha wako?
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,462 29,159 Aug 24, 2017 #10 Kajolijo said: Rais wa TFF yuko mahabusu... na we jamaa waliokua wanafagia barabara sijui ni kina yona Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tofautisha kua mahabusu v/s kufungwa
Kajolijo said: Rais wa TFF yuko mahabusu... na we jamaa waliokua wanafagia barabara sijui ni kina yona Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tofautisha kua mahabusu v/s kufungwa
U UDSM Alumni JF-Expert Member Jan 25, 2015 2,523 1,363 Aug 24, 2017 #11 Ni ngumu sana kuwakuta wamefungwa kesi zao mara nyingi ushaidi haujawai kukamilika