huyo mnafiki saana...unataka kujiua alafu unapost post mastatus in social media?ili iweje?
Huyo anatafuta mtu aje ambembeleze saana,kwa maneno mataaam saana..,nirushie namba yake pm nakupa leo na kesho tu hatozungumza chochote kuhusu kujiua..
Anko usimsikilize shunie, shunie akee kawa kivuruge siku hizi.. Kuna mambo tu yamebana, halaf lile jukwaa letu pendwa si la kuingia na kutoka ni kuganda kabisa.. Next week nafikiri ntakuwa free tutakuwa pamoja huko, wacha nipotezee muda hapa.

Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?
Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.