Msaada: Anataka kujiua

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
694
Reaction score
730
Wakuu salamu,

Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?

Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.
 
We ndo rafiki yake mfuate mtu kama huyo anahitaji faraja tu na kuona anathamiwa usiishie kukupigia cm kmuuliza uliza maswali mpe faraja sio ya mapenzi tu hata maisha
 
achague kati ya kitanzi au sumu ya panya. ktanzi fasta wala hakuna maumivu sana

raha kufamapema

enjoy
 
Kama wewe ni kidume
Mtengenezee mazingira umpe ile kitu inamesa nyenzie mpaka asahau shida za dunia!!

Hivi lakini jamani kwa nini mtu unamuacha mpenzi wa muda mrefu?

Hivi kwa nini mtu ufikirie kujiua kwa sababu ya kuwa rejected na wakati world is full of rejection!
 
Kwakua ni wakike mkae nae karibu msimwache peke yake muda mwingi. Pia hakikisha mnamsaidia kumepusha na mawazo ya kumkumbuka huyo mwanaume, kama kunauwezekano achukue hata likizo abadili mazingira kwa muda.
NB: kwenye kujiua wanawake hua wanatumia njia ambazo sio hatari sana kama kunywa vidonge so wengi hawafi, angekua ni mwanaume basi hilo lingekua balaa kwasababu wengi hawaoneshi hisia hata kama wameumizwa, na wakiamua kujiua hujaribu kwa njia za hatari kama kujipiga risasi, kujinyonga, kujirusha toka kwenye majengo marefu n.k
 
Mshana Jr ni clinical psychologist, hopefully atamuwahi kabla roho aijauacha mwili.
Huyo anakufahamu hata huko roho zinaendaga, akiongea naye najua ataghairisha uamuzi wake wa kujiua.
 


Nothing lasts forever, even love no matter how deep is eroded eventually by love. That's why we move on. To look for new love, new excitement.

Some people dive too deep in love to a point of obsession. They do not know the meaning of moving on. Suicidal thoughts take over. Thinking they cannot live without their significant other.
 
Ni kweli hapo siyo love tena ni obssession.
 
Muulize angependa Kujiua Kwa njia gani, Then Msaidie kufanikisha hiyo Adhma yake.
Atakushukuru Huko atakopokuwa Kwa Kuwa Msaada kwake wa Kutimiza Malengo yake
 
Acha zako wewe kitanzi kinauma kisenge labda akajirushe kwenye Transfoma
 
Kama ni kisa mapenzi muache tu ajiue, acha idadi ya wapumbavu ipungue

Hiv hakuna solution zaidi ya jitu kufikiria kujiua, huu ni upumbavu uliovuka mstali
 
Reactions: Lee
Mshana Jr ni clinical psychologist, hopefully atamuwahi kabla roho aijauacha mwili.
Huyo anapkufahamu hata huko roho zinaendaga, akiongea naye najua ataghairisha uamuzi wake wa kujiua.
hahhahaaaaaaaa
 
Akapande panton.... likianza kuondoka ajirushe pale kati ila hii ni kama hawezi kuogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…