Akipatika msisahau kuleta feedback
Valley-kama umemuelewa naomba nikutafute jion uniaeleweshe na mimi...!
Ili nikueleweshe nihonge nyama choma kwa mromboo jioni
Sawa njoo,..utanikuta hapa darajani.
Uje na full story sasa.
Hvi dume zima unaanza anzaje kuwa kuwadi?
Kwa akili zako na elimu uliyo nayo sijui ya wapi, unapotumia mtandao wa kijamii unadhani huo mtandao ni sawa na nani?Kwakifupi wewe ni dalali wa mapenzi teh
Valley-kama umemuelewa naomba nikutafute jion uniaeleweshe na mimi...!
Poa mshengaKwa akili zako na elimu uliyo nayo sijui ya wapi, unapotumia mtandao wa kijamii unadhani huo mtandao ni sawa na nani?
Si kila unayemuona anatembea ana mawazo kama yako.
Mojawapo ya mfumo ulio duniani ni kutambua hulka ya mtu na kuieshimu.
Wapo wengi na wenye uwezo lakini hawana nafasi kama unayotaka wewe itumike hapa. SOON.