Hodi humu wana jamvi,naomba anaefahamu mtaa wa ohio amani place anielekeze,niko temeke jamani
Kama unakuja kwa basi uke ushuke posta mpya then upitie ile njia ya kati kati ya posta kifika mwisho kata kushoto kuelekea lilipo jengo la Exim Tower na wizara ya mambo ya ndani kisha kata kulia kuelekea Ohio then ukifika Ohio kata kushoto jengo linalofuata baada ya Mambo ya ndani ni lile walilokuwa wanatumia kina Warioba na tume yake then jengo linalofuata ndio Amani place kuna benki ya Akiba Commercial na bank ya CBA ground floor
Hodi humu wana jamvi,naomba anaefahamu mtaa wa ohio amani place anielekeze,niko temeke jamani