Msaada,anaejua Mtaa wa Ohio,Jengo la Amani Place

Trophs

Member
Nov 15, 2014
42
95
Hodi humu wana jamvi,naomba anaefahamu mtaa wa ohio amani place anielekeze,niko temeke jamani
 
Captain Phillip

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
896
195
Kama unakuja kwa basi uke ushuke posta mpya then upitie ile njia ya kati kati ya posta kifika mwisho kata kushoto kuelekea lilipo jengo la Exim Tower na wizara ya mambo ya ndani kisha kata kulia kuelekea Ohio then ukifika Ohio kata kushoto jengo linalofuata baada ya Mambo ya ndani ni lile walilokuwa wanatumia kina Warioba na tume yake then jengo linalofuata ndio Amani place kuna benki ya Akiba Commercial na bank ya CBA ground floor
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000

...asante! kitufe cha Like sikioni.
 
Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
132
225
Nenda Serena Hotel pale kwa nje then angalia upande wa pili wa barabara utaona jengo la Amani...
 
zinc20

Member
Dec 4, 2014
25
0
Hodi humu wana jamvi,naomba anaefahamu mtaa wa ohio amani place anielekeze,niko temeke jamani

nimeshajua unakwenda wapi,wewe unaenda Africa Life Insurance Gorofa Ya Tisa Hapo Amani Place,kwaushauri Wangu Tu,usijiunge Na Hao Wajamaa,watapeli Sana,hata Ukipata Msiba Hakupi Hela Yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom