Msaada anaefahamu Huawei Smart Phone

naunga mkono hapa pia japo kwenye charge ni average.
Nimeona specifiations nzuri mkuu nashukuru, ila naona battery yake haitoki. nisaidie kama kuna nyingine pia nilinganishe kama nitashindwa kununua hii.
 
Nimeona specifiations nzuri mkuu nashukuru, ila naona battery yake haitoki. nisaidie kama kuna nyingine pia nilinganishe kama nitashindwa kununua hii.
P8 au P8 Light nazikubali sana, japo kuna version latest ya P9 nayo ni nzuri sana ila kwa budget yako haitotosha.
 
P8 au P8 Light nazikubali sana, japo kuna version latest ya P9 nayo ni nzuri sana ila kwa budget yako haitotosha.
Nitafanyia kazi mkuu, unazitambuaje. mfano simu zingine ni China, sijui kama nitapata tofauti na china product.
 
250 - 300 sio hela ndogo kwa sasa, nilijua unazungumzia 150 max
 
Saidia tu kujua faida ya hio ambayo haitoki battery, mfano mimi napata uoga siku battery ikiharibika bahati mbaya, nafikiri nitashindwa kureplace.
Huwa Nashindwa elewa kasumba ya watu kutaka simu zinazotoka battery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…