Mr.Duttu
Member
- Nov 7, 2015
- 91
- 57
Hey,mambo vp wana jamii forum?
Natumai mu wazima kabisa, ombi langu kwenu kwa anaefahamu bei ya tangawizi sokoni kwa kilo naomba anipe price tafadhari na kama kuna anayefahamu soko la tangawiz kwa ujumla naomba anipe data sahihi kwa ujumla maana uko mkoani kuna ekari 3 za tangawizi zilizo tayari kwaajili ya kuingia sokoni
[HASHTAG]#changamkia[/HASHTAG] fursa