No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 24
Wakuu salamu!
Naomba msaada wa wapi nitapata amendments za public service act,2002. Public service act yenyewe ya 2002 inapatikana mtandaoni ila amendments zilizofanyika miaka iliyofuatia ndiyo issue kuzijua na kwa kuzipata. Kama unajua mtririko wa amendments tafadhali nisaidie kuzitaja hapa na kama unazo hizo amendments tafadhali naomba unisaidie. Mimi ni bush lawyer sina fedha ya ku-hire wakili kwa sasa.
Ama nikienda pale kwa mpiga chapa wa serikali (Dar) nitapata full package ya hiyo public service act 2002?
Natanguliza shukrani
No-Worries.
No-worries hapo ulipomalizia ndiyo suluhisho, fika Government Printers utapata kila kitu.
Pale nilienda three weeks ago nikakosa!Asante mkuu, sema nipo mkoani kwa hiyo itabidi nijipange! Sijawahi kufika kwenye ile ofisi ya mpiga chapa wa serikali. Utaratibu wao ukoje ati? Ukifika unapata documents siku hiyohiyo? Malipo ni kiasi gani?
Duuu! Uliikosa 'public service act,2002 na amendments zake' ama ulikuwa unatafuta act nyingine?Pale nilienda three weeks ago nikakosa!
Kuna ammendment ya 2015 lakini ilianza kutumika Jan 2016 ndio the latest nenda PSPF unaweza pata huko!Duuu! Uliikosa 'public service act,2002 na amendments zake' ama ulikuwa unatafuta act nyingine?
Thank you mkuu, ngoja nikawatembelee. Ila ukipata softcopy tafadhali nirushie mkuu!Kuna ammendment ya 2015 lakini ilianza kutumika Jan 2016 ndio the latest nenda PSPF unaweza pata huko!
Ni being za kawaida tu mkuu ukifika pale wana duka lao, unalipa wanakupa stakadhi name kukabidhi nyaraka zako palepale.
Pale act zinaisha mara nyingine mpaka utoe oda ili wa-print tena. Alafi malipo yao benki, ni michosho sana.Duuu! Uliikosa 'public service act,2002 na amendments zake' ama ulikuwa unatafuta act nyingine?
Malipo ni benki siku hizi. Unaenda pale kuchukua bei then unalipa benki na kurudisha payinslipNi being za kawaida tu mkuu ukifika pale wana duka lao, unalipa wanakupa stakadhi name kukabidhi nyaraka zako palepale.