Msaada: Amechaguliwa HGL lakini anataka kwenda chuo

Mtoto wawatu

Member
Joined
May 17, 2019
Posts
16
Reaction score
7
Habari wakuu, dogo ana div 1 alisoma arts na biology ambayo alipata B maths C
Geo C , history A, Eng A, mengine B

Msaada pls amechaguliwa kwenda Tabora girls HGL lakini maono yake ni kwenda chuo!

Naomba Mawazo yenu tafadhali kwaufaulu wake ni chuo na kozi ipi aombe.
 
Kwanini unamsingizia dogo?!

Najua ni wewe ila unaogopa kisema ni wewe sasa nakushauri ukasome diploma ya moja kati ya hizi..

1. Accountancy
2. Law
3. Architecture (kama anapenda mambo ya ujenzi)
 
Asante kwa ushauri mkuu' namba tatu nadhani itamfaa...
Ni dogo
 
Aendee hgl hyo then akawe mahiri Kati fani ya sheria
 
Bado nafs ya fom six ipo vzr alienda kusoma laws
 
Habari wakuu, dogo ana div 1 alisoma arts na biology ambayo alipata B maths C
Geo C , history A, Eng A, mengine B

Msaada pls amechaguliwa kwenda Tabora girls HGL lakini maono yake ni kwenda chuo!

Naomba Mawazo yenu tafadhali kwaufaulu wake ni chuo na kozi ipi aombe.
Kwa kuwa ana division 1 basi aombe certificate ya laws pale UDSM,

na huo mwaka wa kwanza akipata fist class anakuwa na sifa ya kujiunga degree mwaka unaofuata
badala ya kuendelea hadi diploma ili ajiunge bachelor degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom