stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 165
Mh nidukuliwa bila laini kusoma?inamaanisha umedukuliwa.
Im kidding, tusubiri wataalam waje.
Umetumiwa au ni setting flani
Hiyo si inaweka alama ya Kindege kwa screen?Inamaanisha airplane mode nadhani
yeah, ila kama umei deactivate airplane mode then inaweza kuwa ni something else. kuna baadhi ya applications zinaweka vialama kama hivyo especially zile memory cleaning appsHiyo si inaweka alama ya Kindege kwa screen?
Naulizia kile kinachoonekana kwenye laini kwa juu.Hicho ki-alama kama kombora la Kim nahisi ni remote control ya kombora hiyo simu.
Raphael Wa Ureno
Huyo aliyekutumia yupo nchi gani?Naulizia kile kinachoonekana kwenye laini kwa juu.
Naulizia kile kinachoonekana kwenye laini kwa juu.
Kwenye picha ya kwanza au ya pili?Naulizia kile kinachoonekana kwenye laini kwa juu.
yeah mkuu inawezekana nilishawahi kuonayeah, ila kama umei deactivate airplane mode then inaweza kuwa ni something else. kuna baadhi ya applications zinaweka vialama kama hivyo especially zile memory cleaning apps
Unapo taka msaada jaribu kunyoosha maneno usaidiwe.Simu model imetoka inchi ganiWapenzi, habari za leo,
Naomba kuuliza hii alama hapa juu kwenye simu inamaanisha nini? Simu ni mpya nimetumiwa.
View attachment 538955
View attachment 538956
Mkuu umenichekesha sanaHicho ki-alama kama kombora la Kim nahisi ni remote control ya kombora hiyo simu.
Raphael Wa Ureno