Msaada ajira yeyote halali

Msaada ajira yeyote halali

kichupa

Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
31
Reaction score
3
Habari,mimi ni kijana wa kitanzania nimehitimu shahada ya kwanza ya sheria miaka miwili iliyopita.Nimetafuta sana ajira sijapata naombeni msaada wenu kazi yeyote ile halali.Niliwahikufundisha sekondari.Mimi nipo dar.
 
kuna watu humu wana moyo na nafasi zao watakusaidia hata kwa ushauri tu ambao unawezakuwa na mchango chanya kwako na kwa watu wengine,all the best
 
kuna watu humu wana moyo na nafasi zao watakusaidia hata kwa ushauri tu ambao unawezakuwa na mchango chanya kwako na kwa watu wengine,all the best

nashukuru ndugu yangu ndo maana nimekuja hapa jamvini kuomba msaada wenu na bado nauhitaji sana ndugu zanguni nyooote
 
Ndugu kichupa, kama una uwezo rudi tena chuo usome post graduate diploma ya education (PGDE) Kwa mwaka mmoja kisha unasubiri kupangiwa mkoa na wilaya ya kufundisha. Tena chuo cha ada nafuu ni open univ (OUT).
 
ndugu asante kwa ushauri wako mzuri ila kwa wakati huu kuufanyia kazi inaniwia vigumu sana kwa hali niliyokuwa nayo kichumi,ndo maana natafuta kwanza ajira ili inisaidie hata kuishi
 
duu hili taifa linaelekea kuwa kama nigeria maana haya matatizo ya ajira ni hataree sana,jamani wale wenye nafasi zao watakuwa wamesikia
 
Habari,mimi ni kijana wa kitanzania nimehitimu shahada ya kwanza ya sheria miaka miwili iliyopita.Nimetafuta sana ajira sijapata naombeni msaada wenu kazi yeyote ile halali.Niliwahikufundisha sekondari.Mimi nipo dar.
Ni PM please mapema sana
 
Bado wandugu sijafanikiwa na ninahitaji sana msaada wenu jamani
 
mkuu nakushauri utembelee maeneo ya mahakamani au sehemu zozote za usuluhishi ili ukawape wanyonge msaada wa kisheria, kwani watu ni wengi sana wanahitaji msaada huo. Kwa kufanya hivyo utawakomboa nawe utajipatia kipato. Mungu akutie nguvu.
 
ndg huko pote nimepita na bado mambo magumu sana kwa upande wangu
 
Nashukuru wote kwa mawazo yenu nyote kwa michango yenu mizuri sana yakutia moyo ila nimesikitishwa sana na baadhi ya ndugu zetu hapa jamiiforum wanaona tangazo lako anakuja pm/wazi anasema anakusaidia anakuomba namba unampatia alafu anakaa kinywa,unampigia simu hapokei mwingine anakwambia umpm afu hajibu lolote ukiangalia unaona kila mara na log in,jamani kama huna haja ya kusaidia wenzako soma acha wenye moyo watasaidia,ni hayo tu bado sijafanikiwa na nina hitaji ajira yeyote halali
 
Back
Top Bottom