Msaada Airtel internet

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,331
kwenye apn weka neno internet kwa herfi ndogo zote. Kwingine acha blank
 

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
952
353
Mkuu jaribu kama mdau alivyokuelekeza hapo juu.Usipopata suluhisho peleka hili tatizo kule jukwaa la tech,gadgets and science kuna wataalam watakusaidia tu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom