Hivyo vitabu ni vizuri sana hasahasa hicho Dass, ukitaka kuamini ubora wake tembelea baadhi ya bookshop mfano pale mlimani city utakiona, ukikikisa hicho kuna kingine kimeandikwa na MEHTA, kama sikosei publisha wa hivyo vitabu vyote ni CHANDY