Inategemeana na maeneo. Unaweza kupata sehemu wakakuuzia chin ya hapo. Kwani we hukuwa na hiyo bei? Kikawaida hazizidi 40,000. Mimi nimemaliza form six 2015 (mathematics was one of my subjects) kwa hiyo nina uhakika na ninachoongea.Chandy currently nimeulizia inauzwa 60,000 kwa Dodoma maana yake mbili Ni tsh 120,000/=.
Private Messages Mkuu.PM maana yake nini??
Mkuu chukua tu email yake. Naona haelewi hata maana ya PMmwengeso said:Ni PM nikusaidie
Mkuu swali rahisi mno. Ungemsaidia tu kwa kile anachohitajiMwatobe, kabla hujaanza "advanced mathematics" na kuni PM, nipe jibu ya swali hili:
1+9-3/1/3=?
Mpaka hapo huna haja ya kuendelea. Umeonesha kwamba unajua na badala yake akuletee maswali ya kufikirisha zaidi.(3÷1)÷3 or 3÷(1÷3) are two different answers so which in you question??..
(3÷1)÷3 or 3÷(1÷3) are two different answers so which is which in you question??..
Mpaka hapo huna haja ya kuendelea. Umeonesha kwamba unajua na badala yake akuletee maswali ya kufikirisha zaidi.
Vyovyote vile ulivyoelewa, nipeni jibu.
To see the methmetical errors from your question is the most best answer to your question.
What else do you want?