Msaada-Adobe Photoshop!

Alison Mremi

Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
21
Reaction score
4
Ni matumaini yangu kuwa wana JF wote ni wazima! Kiukwel wakuu huwa natamani sana kujifunza na kuijua sana Adobe photoshop! huwa naona wivu sana pale napoona baadhi ya picha zikiwa zimefanyiwa mautundu! Mara nyani kavaa miwani mara kichwa cha mtu kimevalishwa mwili wa nyani nk! Huwa natamani sana kujifunza lakini cjui hta pa kuanzia japo nna hyo program kwenye Pc yangu! Mdau yeyote ambaye ana ufahamu na hii, plz help me!
 

mzee,unaeza kuwa mtaalam bila hata kufundishwa sana,ol u nid is a basic knowledge ujue kutumia tools like pen,eraser,blur,gradient tool etc. Bt the rest unaweza tafuta tutorials online ukapata
 
Adobe Photoshop ni IMP(Image manipulation Program) ambayo imebezi katika field nyingi, so sijui ulikua unataka kujua upande upi?, Mfano.
1.Hutumika kutengenza Cartoon characters.
2.Web graphics.
3.Photography (eg. Cartoon background and magic movies photos)
4.Photo retouch (Eg.Passport photos)
5.Funning (Kama mfano wako hapo juu)
6.others

so unapochagua tutorial kuwa makini usije changanya mambo.
Unaweza check hapa pia: Photoshop Tutorials | PhotoshopStar
 

hapa mzee wewe tu, chochote unaweza chota Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site
 
Mazd na mpangamji nawashukuru sana! Ebana kwel hizi tutorials ni ya ukweli! Subiri nizipigie shule sasa hv! Tanx!
 
Ndio ninachoipendea JF ukitaka kujuwa kitu basi msaada utaupata bila tatizo kabisa...big up wakuu....
 
fungua hapa Adobe Press tafuta kitabu kinaitwa "adobe photoshop CS classroom in a book", Kazi kwako maana kina page 700.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…