Habari za jioni wana jamvi, Nimenunua min laptop ya Acer-aspire one,nataka kutumia web cam yake kuwasiliana on line, Tatizo nashindwa kuiwasha web cam, Na je nitafanyaje niweze kuwasiliana na mtu huku tukionana live kwenye web camera?
Msaada wenu tafadhali.