blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,269
- 1,148
Habari wataalamu
Poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Account yangu ya twitter imefungiwa gafla ila tatizo linalonikumba ni kutokua na line niliyotumia kuregister ilipotea pia sikutumia email.
Hivyo wananambia niverify kwa kupata code zao.Hapa ndipo ninapokwama Watalamu wangu
Kama kuna alternative nyingine yakuirudisha ningeomba msaada kwenu tafadhali.
Usiku tulivu kwenu!