Habari za majukumu wanajamii,
Nimekumbwa na hili tatizo la kutoweza kufungua GMAIL account yangu kwa takriban siku 4 sasa, nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini lkn nimeshindwa kupata majibu ya kufumbua tatizo hili!
Naombeni msaada wenu ili niweze kupata access ya gmail account yangu.
Natanguliza shukrani.