Msaada: Account ya HESLB haifunguki

Msaada: Account ya HESLB haifunguki

master noble

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
10
Reaction score
4
Leo ni siku ya tatu hivi, ninajaribu kuingia kwenye profile yangu ili nijue nimepata asimilia ngapi ya mkopo lakini cha ajabu link ya HESLB haifunguki.

Jamani naomba mnisaidie hii ishu maana sijajua nitalipiwa ada kiasi gani
 
  • Thanks
Reactions: m2u
Bora wewe unaejua tayri unamkopo ,wengne tunasubiri batch ya mwisho ya ANA ANA DOO
 
  • Thanks
Reactions: m2u
Wale watakaowasili leo udsm watujuze kimeendelea nini.
 
Back
Top Bottom