Inawaka kwa sababu kuna tatizo, either breaks pads zimeisha , hii itaendana na taa ya pads kuwaka pia. Inawaka kwa sababu fuse yake haiko functional, check fuse box
Ka check system ya break (ABS) kutakuwa na tatizo..either break pad or whatever, nilishapata hilo tatizo nikakuta break pad moja imekwisha mpaka imehama kidogo.