Msaada ABS light kwenye dashboard

Msaada ABS light kwenye dashboard

sintosh

Member
Joined
May 26, 2015
Posts
44
Reaction score
41
habari wakuu ABS light ikiwaka kwenye dashboard inatoa alert gani au kuna tatizo gani kwenye gari....?
 
Inawaka muda wote au inawaka unapowasha gari na inazima baada ya muda?
 
Mimi yangu inawaka muda wote, sijui ya mtoa mada ikoje!!
 
Io inahusika na auto breaking, ni vema ukafanye check up mapema..
 
Inawaka kwa sababu kuna tatizo, either breaks pads zimeisha , hii itaendana na taa ya pads kuwaka pia. Inawaka kwa sababu fuse yake haiko functional, check fuse box
 
Hiyo ni anti-lock braking system ikiwaka bila kuzima maana yake imeharibika peleka kwa fundi mzuri,
 
Ka check system ya break (ABS) kutakuwa na tatizo..either break pad or whatever, nilishapata hilo tatizo nikakuta break pad moja imekwisha mpaka imehama kidogo.
 
inawaka nikiwasha gari na baada ya kuendesha kwa muda inazima
 
Back
Top Bottom