STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Iko hvo mkuu aiseeNi kuiseti simu kwanza kupitia setting, mobile networks, na kuenable 3g, 4g, 2g kama automatic yako. Kisha uwe na line inayosapoti 4g kisha uwe mkoa unaosapoti 4g.
Ishu imeanza ghafla? Ulidownload app? Cheki line ya mtu mwingine kama kwako itafunction kwa 4g pia line yako weka kwa mtu mwingine ili ujue kama itasapoti 4g.Iko hvo mkuu aisee
nimecheki online kulikuwa na tatizo la software update ila limeshakuwa fixed na update mpya. angalia kama kuna update mpya.J700f mkuu
kwa smart switch, kama upo comfortable kuflash simu yako.Kama kuna njia nyingine labda ya kupata update mkuu... Nijuze