Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa kuchomelea(welding)
3.Umeme wa magari.
Ipi nzuri kati ya hizo mipango yangu nikimaliza chuo niende duniani huko kutafuta maisha.
Karibuni sana matusi ruksa😐