Tupia picha ili iwe rahisi kusolveWadau natumia window 10 kwenye pc yangu,sasa majuzi baadhi ya apps zmekuwa blank Icon kama microsoft edge, photo viewer mwenye ujuzi wa kuzirudisha normal tafadhali.
Jaribu hizi njiaHuo apo ni muonekano wa picha window photo viewer iko deafult