Ni hiyo Jamiiforums app peke yake inafanya hivyo au na apps zingine?
Nenda kwenye settings >applications > Jamiiforums >click kisha clear chache halafu force stop. Ukimaliza toka jaribu kuifungua tena.
Kama ni apps nyingi zina tatizo hilo restart simu ujaribu tena.