Msaaada:Kuweka Window XP kwenye PC

Msaaada:Kuweka Window XP kwenye PC

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Habari zenu wana JF nilikuwa naomba maada jinsi ya kuweka Window XP kwenye laptop yangu
setup wala CD yenye Window sina
 
Habari zenu wana JF nilikuwa naomba maada jinsi ya kuweka Window XP kwenye laptop yangu
setup wala CD yenye Window sina
Ni pm nikutumie window,nitakuelekeza jinsi ya kutumia...masharti kuzingatiwa
 
Habari zenu wana JF nilikuwa naomba maada jinsi ya kuweka Window XP kwenye laptop yangu
setup wala CD yenye Window sina
Watu wapo kwenye Windows 10 wewe bado upo kwenye Windows XP kazi kweli ipo. Angalia hiyo Video itakufundisha vizuri hapo chini.

How to Install Win XP Without CD ROM

 
Back
Top Bottom