La purga Member Joined Nov 27, 2018 Posts 34 Reaction score 30 Aug 22, 2019 #1 kam hyooo pich inavyoonyesh nimeambiwa nakaribishwaa kuapply for second round lkn sas sas niingie wap kuapply..????
kam hyooo pich inavyoonyesh nimeambiwa nakaribishwaa kuapply for second round lkn sas sas niingie wap kuapply..????
6 64-bit JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 298 Reaction score 147 Aug 22, 2019 #2 Ingia kwenye account yako then upande wa kushoto juu click hiyo three white lines hizo then choose apply program then endekea
Ingia kwenye account yako then upande wa kushoto juu click hiyo three white lines hizo then choose apply program then endekea
La purga Member Joined Nov 27, 2018 Posts 34 Reaction score 30 Aug 22, 2019 Thread starter #3 64-bit said: Ingia kwenye account yako then upande wa kushoto juu click hiyo three white lines hizo then choose apply program then endekea Click to expand... thnx
64-bit said: Ingia kwenye account yako then upande wa kushoto juu click hiyo three white lines hizo then choose apply program then endekea Click to expand... thnx
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,881 Reaction score 7,535 Aug 23, 2019 #4 Mimi hata ku create control number inakataa
usy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 209 Reaction score 165 Aug 23, 2019 #5 fredericko said: Mimi hata ku create control number inakataa Click to expand... naregust control namba tangu asubuhi sipati
fredericko said: Mimi hata ku create control number inakataa Click to expand... naregust control namba tangu asubuhi sipati
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,881 Reaction score 7,535 Aug 23, 2019 #6 usy said: naregust control namba tangu asubuhi sipati Click to expand... Ni kazi sana yani
insuperable JF-Expert Member Joined Jan 27, 2019 Posts 298 Reaction score 243 Aug 24, 2019 #7 Msaada jinsi ya kuapply SUA second round
usy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 209 Reaction score 165 Aug 24, 2019 #8 fredericko said: Ni kazi sana yani Click to expand... udom haapo serious hata kidgo,, tatizo la kutokupata control namba tangu Jana linasumbua,, nimewapigia simu Jana asubuhi wa kanambia nisubir had Jana sa kumi ila cha kushangaza mpaka Leo shida ile ile inaendelea
fredericko said: Ni kazi sana yani Click to expand... udom haapo serious hata kidgo,, tatizo la kutokupata control namba tangu Jana linasumbua,, nimewapigia simu Jana asubuhi wa kanambia nisubir had Jana sa kumi ila cha kushangaza mpaka Leo shida ile ile inaendelea