Habar zenu wanaJf, nina laptop min dell ispirion 1018 imekufa keyboard yake pamoja na pot za usb zinachagua flash only flash zangu tuu ndo zinakubali zingine pamoja na usb ya simu inagoma. kurekebisha haya yote inagharimu sh ngap? msaada tafadhari. napatikana dar