Msaaada ilipo hospitali ya masista mbweni

Kutokea mwenge unaifuata bagamoyoroad mpaka Boko njiapanda y'a mbweni then unaingia kushoto barabara ya mbweni mpaka mwisho WA Lami ilipo hospitali.Ni km 6 from bagamoyoroad. Inaitwa St. Joseph hosptal
Shukran sana mkuu
 
Back
Top Bottom