Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 776 Jul 14, 2012 #1 Nina machine aina ya dell xps 1210 ukiiwasha switch button inaonekana inawaka lakini display haionyeshi kitu,pili nimejaribu kucheki kwenye external display ili kuangalia kama display ina matatizo nayo haionyeshi kitu,naombeni msaada wa haraka!
Nina machine aina ya dell xps 1210 ukiiwasha switch button inaonekana inawaka lakini display haionyeshi kitu,pili nimejaribu kucheki kwenye external display ili kuangalia kama display ina matatizo nayo haionyeshi kitu,naombeni msaada wa haraka!
Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 776 Jul 14, 2012 Thread starter #2 Wakuu nasubiri maujanja yenu,hali tete!