Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,616
Mie nataka app ambayo meseji ya siri ikiingia itoe sauti lakini ipitilize kufichwa na isifunguliwe mpaka kwa password. Nimejaribu HANDCENT NEXT SMS lakini nayo shida yake ni kwamba baadhi ya sms hazifiki kwangu. Mtu ananitext, kwake inasoma delivered lakini kwangu haikufika na haifiki kabisa.