KIMICHIO
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 1,179
- 80
karibu mkuu utatukuta sebleni kule mida hii mana twasubiria giza si unajua tena watoto saa hii macho kodo.sasa nimechoka na habari za ufisadi bado kidogo nitaanza kuchangia kule kwa wakubwa!
karibu mkuu utatukuta sebleni kule mida hii mana twasubiria giza si unajua tena watoto saa hii macho kodo.sasa nimechoka na habari za ufisadi bado kidogo nitaanza kuchangia kule kwa wakubwa!
Kwa nini inakuwa ngumu kwa TANESCO kununua mitambo yao wenyewe?
hiyo mitambo imeshauzwa .... sasa januari anatakaje mitambo iwashwe au iwashwe kimtindo wa another DOWANS ... kwa agreement zipi in tofauti na zile za DOWANS ... je kuna uchunguzi technical unaoonyesha ile mitambo itaendelea kufanya kazi kwa ufanisi ... ninahisi baada yakuvunja mikataba na DOWANS inawezekana hata vile vifaa nyeti vya mitambo hii hasa operating manuals au activators wameshazificha
Njia rahisi hapa ni kwa serikali kuachana na hii mitambo!! Watanzania tuvumilie kama ni miezi miwili au mitatu....serikali/ NSSF wanunue mitambo mipya!