Mrithi wa Lukuvi ni huyu hapa...

Mrithi wa Lukuvi ni huyu hapa...

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,204
Reaction score
11,364
Baada ya msiba wa Lukuvi, lazima atateuliwa mtu wa kurithi kiti chake.

Na kwa maneno ya Rais naona Biteko ama Nape akipewa nafasi hiyo.

Japokuwa Nape amemeza bendera ya chama, hajali kabisa vyama vingine.
 
Sio Brenda tena? Mnatuchosha sasa sisi kenge😛
Acha kukurupuka. Hapo anazungumzia Uwaziri na siyo Ubunge.

Ubunge ni Wa Brenda William Lukuvi
Screenshot_20260329-100135_1.jpg
 
Mtu hawezi kuwa Naibu Waziri mkuu aje kuwa Waziri wewe! Ni kumshusha cheo na hadhi.

Kuhusu Nape, elimu na uwezo ni mdogo. Ndio maana unaona wanampaga Habari, Sujui vitu gani apambane na akili ndogo ndogo. Aonekane kideoni, ahojiwe na waandishi n.k the same story kwa Bashite.

Kuna Wizara zina watu wenye akili timamu, kama hizo za Sera, Uratibu zinataka ka shule kawepo kidogo.
 
Wataalamu mliosoma Political Science, Je Ndg. Simbachawene anaweza kuwa mrithi wa Hayati Mwendazake Lukuvi???
 
Baada ya msiba wa Lukuvi, lazima atateuliwa mtu wa kurithi kiti chake.

Na kwa maneno ya Rais naona Biteko ama Nape akipewa nafasi hiyo.

Japokuwa Nape amemeza bendera ya chama, hajali kabisa vyama vingine.
Neither of them makes a difference and none will.
 
Baada ya msiba wa Lukuvi, lazima atateuliwa mtu wa kurithi kiti chake.

Na kwa maneno ya Rais naona Biteko ama Nape akipewa nafasi hiyo.

Japokuwa Nape amemeza bendera ya chama, hajali kabisa vyama vingine.
uko wapi ndugu mpiga ramli?
 
Acha kukurupuka. Hapo anazungumzia Uwaziri na siyo Ubunge.

Ubunge ni Wa Brenda William Lukuvi h
Hii picha Lucas usije ukajikuta una kwea mnazii kwa mkono mmoja maana nakuona hauishii kububujikwa.

dronedrake , kijana wenu huyo muunge timu CHAPUTA

secretarybird , KAKA MCHUKUE KIJANA MFUNDISHE COURSE desa lotee la CHAPUTA
 
Mtu hawezi kuwa Naibu Waziri mkuu aje kuwa Waziri wewe! Ni kumshusha cheo na hadhi.

Kuhusu Nape, elimu na uwezo ni mdogo. Ndio maana unaona wanampaga Habari, Sujui vitu gani apambane na akili ndogo ndogo. Aonekane kideoni, ahojiwe na waandishi n.k the same story kwa Bashite.

Kuna Wizara zina watu wenye akili timamu, kama hizo za Sera, Uratibu zinataka ka shule kawepo kidogo.
Kwa hiyo Lukuvi, Jenista walikuwa na shule kuliko Nape
 
1774968418217.png

Wasukuma bwana, tangu hii picha itoke JF mmechanganyikiwa kabisa, yaani ni komenti sijui pisi kali, sijui amrithi baba yake sijui nini. Tatizo ni nini hasa, huo weupe? Aliewaambia ukiwa mweupe unakuwa mwanasiasa bora nani lakini? Mbona Tulia yuko poa tu mwanasiasa nguli?

Najua nikifanya photoshop nikampa Brenda rangi ya watani wangu Wajaluo hatutaona tena comments zenu za sijui Brenda nini sijui arithi nini.
 
1774968894745.png

Haya, tuambieni sasa, nani anafaa kurithi kiti cha ubunge? Msukuma atasema huyo mwanamke pembeni ya Brenda. Najua tu!
 
Uongozi Kibongobongo ushakua mali ya kurithishana yani dah! Wakati nasoma miaka ya 80 nchi ilikuwa bora sana unaona kbs mtu anavyojengwa na kujijenga kuwa kiongozi sikutegemea wala kuwaza nchi itakuja kuwa low namna hii! Niende zangu firdaus tu sasa nikakabidhiwa bikra zangu 72, nishatumika sana sasa
 
Ila nafasi inamtaka mtu heavyweight maana ndo anaratibu utaribu wa serikali bungeni...ni kama mtu wa nidhamu wa bungeni. Lazima awe mtu akitoa utaratibu kwa wabunge wanamsikiliza. Wangempa simbachawene anaweza
 
Back
Top Bottom