najaribu kutazama ccm mrithi wake atakavyokuwa, kwani maskendo ni mengi, habari za ufisadi ni nyingi, sheria zimepindishwa kidogo, hospitali bado madawa hakuna...yaani wananchi wameshakata tamaa.
Swali: Huyo mrithi atawabadilisha vipi wananchi mpaka wamuelewe na ccm?
freemasonkatika ccm hakuna kama lowasa. Hao wengine ni ccj na cdm na wataondoka tu, na kumwachia mwenye chama. Hiki chama kina wenyewe. Usione kinaelea kimeundwa. Unafikiri watu wanakutana barabarani tu na kuunda chama.
Hata cdm ina wenyewe (umma).
Changanya na za kwako.
freemason
Najaribu kutazama CCM mrithi wake atakavyokuwa, kwani Maskendo ni mengi, Habari za Ufisadi ni nyingi, Sheria zimepindishwa kidogo, Hospitali bado madawa hakuna...Yaani wananchi wameshakata tamaa.
SWALI: Huyo mrithi Atawabadilisha vipi Wananchi mpaka Wamuelewe na CCM?