Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,188
- 17,715
KabisaHata mimi nisingekubali, baba auwawe namna ile. Dogo awe tayari kufa, lakini amlipie kisasi baba yake.
Huyu tayari wamemponza kwa kumtangaza kuwa kateuliwa. Muda si mrefu itakuwa kama yule aliyechukua nafasi ya Nasrallah wa HezbollahMrithi wa Khamenei (Mojtaba) aamuru Kombora la kwanza
OopsHuyu tayari wamemponza kwa kumtangaza kuwa kateuliwa. Muda si mrefu itakuwa kama yule aliyechukua nafasi ya Nasrallah wa Hezbollah
Wewe unataka nchi gani iwe Super Power. Ifanyeni basi Tanganyika yenu iwe Super Power.Nimependa roho ya kupambana ya waajemi, hawa magaidi namba moja duniani(Israel na Marekani) wanatakiwa wapate watu wa kuwatandika siku moja.
Hata hivyo, dunia inahitaji another superpower, japo China hafai kuwa superpower.
Kuna mtu atabaki katika hii Dunia mkuu?Huyu akijitahidi ni wiki moja tu iliyobaki ya yeye kuwa hai, lazima nae atawahishwa chap kwenda kwenye mito ya pombe na mabikra 72!, hapo trump ana mzoom tu amle kichwa chap!.
Mojtaba Khamenei ni majeruhi alijeruhiwa kwa makombora yaliyomuua baba yake,na wala sidhani hata kama anawezabkuongeaIran imerusha makombora yake ya kwanza kuelekea Israeli leo Jumatatu Machi 09, 2026 baada ya kuteuliwa kwa Kiongozi mpya mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu, Ayatollah Seyyed Mojtaba Khamenei.
Kituo cha utangazaji cha Serikali ya Iran IRIB kimesema kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba Iran imefyatua wimbi la kwanza la makombora chini ya Ayatollah Mojtaba Khamenei kuelekea maeneo yaliyokaliwa.
Imechapisha picha ya kombora lenye kauli mbiu "Kwa Amri Yako, Sayyid Mojtaba," marejeleo ya kidini ya madhehebu ya Kishia.
Wakati haya yakijiri, Waziri Mkuu wa Qatar na Waziri wa Mambo ya nje, Mohammed bin Abdulrahman Al Thani ametoa wito wa kupunguzwa kwa kiwango cha vita vya Iran.
Akiongea na Sky News Al Thani amesema hawakutarajia mashambulizi ya jirani yao Iran dhidi ya nchi za Ghuba, akiongeza kwamba uhalali na visingizio vya Tehran wanavyotumia vimekataliwa kabisa.
Wakati huo huo shambulizi la droni lililofanywa ana Iran nchini Bahrain limewajeruhi raia 32 katika kisiwa cha Sitre.