Wanawake wengine jamani, kwenda kudai hadi kabati la vipodozi ndiyo nini?
Wakati mwingine na sisi tuwe wajasiliamali vinginevyo hawa wanaume watatunyanyasa sana.
Nini pasi dada mi nabandua mpaka tiles unajua sometimea wanaume wanadharau sana anakuo na kukuacha muda anaotaka tena kwa kukutelekeza maybe na watoto.bila kujua kama amekuharibia mipango ya maisha.