WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Peleka thread yako panapostahili bana
hiyo pcha ikowapi?..............................
UMEONGEA POINT NZURI SAAANAH! siku zote maendeleo ni kufanyia kazi makosa na sio kusaka mchawi. Yanga walifungwa na Mtibwa 3-0 wakabadili kocha haraka sana leo wapo pazuri. Simkoko wakati kaipeleka Tafa star ethiopia katika challenge cup miaka kama sita iliyopita ni kocha aliyewahi kukubali udhaifu wa fomesheni yake ulioifanya Rwanda itushinde. Alifanyia makosa ufundishaji wake na leo ni kocha anyaefanya vizuri katika makocha wazalendo.Kufuatilia soka la Bongo ni kujitafutia maumivu ya kichwa, haiwezekani timu ikifungwa badala ya kuuongeza juhudi ili warekebishe makosa wanaanza kutafutana uchawi, na matokeo ya soka yanafahamika, KUFUNGA,KUFUNGWA NA SARE kitakachopatikana katika hayo ni lazima kukubaliana nacho na kujiandaa na hatua nyingine......kwa wabongo sio.
Peleka thread yako panapostahili bana
huyo kiongozi kama ni kweli amekwaruzana na Ngassa basi ni mpumbavu, hana maadili ya uongozi na hafai kuendelea kuwa kiongozi wa Simba, kwa mpira Ngassa hastaili kulaumiwa hata chembe.
niipeleke wapi mkuu,mbona unakuwa na tabia ya kunyanyapaa thread za wenzako mkuu??!!!!
Timu pamoja na wachezaji wa hizi timu hawajitambui,wanadaganyana eti sasa hivi tuanze 'professional league',wakati kilabu hazina mipango endelevu!!!,wahezaji hawana malengo;mafunzo wa makocha hawazingatii,wanapika majungu wakipewa mazoezi magumu mpaka makocha wanatimuliwa kazi.!!!Mrisho Ngassa si mchezaji bali ni mwana mazingaombwe kama walivyo karibia 99% ya wachezaji wa Simba na Yanga. Mtu yeyote mwenye sifa ya ukocha hawezi kumpanga Ngassa kwani hana any talent zaidi ya kukimbia tu uwanjani. Wachezaji wazuri wako mikoani si hawa wana mazingaombwe wa Simba na Yanga.
huyo kiongozi kama ni kweli amekwaruzana na Ngassa basi ni mpumbavu, hana maadili ya uongozi na hafai kuendelea kuwa kiongozi wa Simba, kwa mpira wa leo Ngassa hastaili kulaumiwa hata chembe.
sifuti kauli, huyo Rage anasogeza siku tu za kuwa Mwenyekiti wa Club tukiamua hata sasa hivi tunamtanguliza...tu huko, ngoja kwanza arudishe pesa alizompatia Mbuyu Twite kinyume na taratibu.Eti eeh!
Ni Rage mkuu, je utafuta kauli?
Shida ya Simba ni kucheza mpira mdomoni. Ligi ilipoanza mlichonga utafikiri mmecheza fainali vile