Mzee Mavunde Makumbusho, Mbweni, St Peter Xyz*#+&%"*fgykazxxfe. Mzena.Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.
Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.
Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
Huyu ni baba wa Antony Mavunde naibu waziri au majina tu?Mzee Mavunde alipotea awamu ya 5, naona amerudi sasa.
Kweli kabisa. Kuna wasanii wakiitwa kwenye shughuli za serikali au chama wanaimba nyimbo zao za ovyo. Mfano Zuchu alipoalikwa na CCM Dodoma. Rais anashangaa msanii anaimba "Mwambieni mwambieni mali zake zishaliwa". Kuna Mrisho Mpoto na Kwaya ya chuo cha utumishi wa umma wacha waendelee kula hela za serikali.Huyo jamaa anajua kulitumia jukwaa na kufikisha ujumbe sahihi,kwa lugha sahihi na kwa wakati sahihi.
Kila siku naangalia profile pic yako. Zile jeans na shapeMpoto nyota imen'gara
Ungeanza na swali kwa nini havai viatu majibu yake yangekufungulia njia kwa haraka kwa nini ni yeye tu na sio mtu mwingine. Ila muache mjomba apambanie tonge mjini akili matumizi ya nguvu peleka kijijini.Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
"Anakula kwa kipaji"Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
Ndio Baba yake mzazi, ccm ina wenyewe.Huyu ni baba wa Antony Mavunde naibu waziri au majina tu?
Hilo nalifahamu, hata mdogo wake na huyu naibu waziri kamuingiza kitengo yupo Dodoma mjini.Mzee Mavunde Makumbusho, Mbweni, St Peter Xyz*#+&%"*fgykazxxfe. Mzena.
Hata sijui naongea nini?
NCHI HII INA VYEO VINGI SANA NDIO MAANA MREMA ALIPEWA UNAIBU WAZIRI CHEO AMBACHO HAKIPO KIKATIBAHuyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.
Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?
Nasubiri maoni
Urefu wa kambaNdio Baba yake mzazi, ccm ina wenyewe.
Hilo nalifahamu, hata mdogo wake na huyu naibu waziri kamuingiza kitengo yupo Dodoma mjini.
Hilo nalifahamu, hata mdogo wake na huyu naibu waziri kamuingiza kitengo yupo Dodoma mjini.
Kwahiyo Mrema anakula pension hadi leo?NCHI HII INA VYEO VINGI SANA NDIO MAANA MREMA ALIPEWA UNAIBU WAZIRI CHEO AMBACHO HAKIPO KIKATIBA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kuna yule Mchengerwa yeye Samia ndio mama mkwe wake kaoa kabisa binti yake.Ukiona kijana wa CCM kapewa cheo kikubwa serikalini ukifuatilia vizuri utakuta kuna Ancestor ambae ni kigogo. Hata huyu kijana wa TAMISEMI sijui ancestor wake ni nani?
Wewe si mwenyewe? So wewe ni chawa?Ndio Baba yake mzazi, ccm ina wenyewe.
[emoji16][emoji16] wewe una cheo gani mzee? Au ni chawa tu wa CCM?Kuna yule Mchengerwa yeye Samia ndio mama mkwe wake kaoa kabisa binti yake.
Wewe unawashwa, sijawahi kuipiga kura ccm tangu nizaliwe.[emoji16][emoji16] wewe una cheo gani mzee? Au ni chawa tu wa CCM?
Naomba mnijuze eagle ni nani?We' huogopi mkuu? Mpaka mwana f.......a? Duuuh sijui atapona nani?
Ana mtoto mkubwa kiasi cha kuingia huku?Ah ah ah mtoto wake mkuu