Hapa ndiyo umuhimu wa kuukataa na kuupuuza uchawa,na umuhimu wa uzalendo wa kweli unapoonekana na ile maana ya uzalendo wa kweli,haja ya kuihubiri haki kuwa ni msingi na ndiyo iletayo amani inapochomoza na kuwazindua usingizini waliotekwa na wimbo wa amani bila ya kujua hakindio msingi wa amani ya kweli.
Mjinga sana huyu dogo anakumbuka shuka wakati kumeshapambazuka! Na tangu lini sadaka ya shukrani uifanyie tafakuri na kutangaza mitandaoni!? Huyu anaugua sonona