Halafu hawajifunzi. Hivi nani ange amini Novatus angerudi kucheza na Mike studio?? Kiburi alichokuwa nacho wakati wa Udc Hai na Moshi leo nae anapanhiwa vipindi[emoji2] huwa nawaonea huruma sana hawa vijana wa LumumbaMimi huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu wenye fikra za aina hii. Kwanza they are in the wrong side of history, it doesn't need one to be a brain surgeon kutambua kwamba future ya Taifa letu- CCM is no where to be found. Lakini pili na muhimu zaidi ni kwamba hizi kazi za kuteuliwa Muda wake ukiisha utafanya nini bado ukiwa na nguvu nyingi chini ya umri wa miaka 50? Angalau basi uwe na PhD yako kwani hautakosa kazi hata ya kufundisha masuala ya uongozi baada ya kupata uzoefu kupitia nafasi hizi.
Tutakutana nao mitaani kwani wengi hata wa awamu iliyopita tupo nao mitaani na Sasa wanatuelewa vizuri sana tulikuwa tuna maanisha nini. Watakuja tu.
Wapinzani waliopotea ni wapi hao, mbona mimi ni mpinzani nipo na nitakuwepo hata wakisimama Wa-gambo elfu na Magu wake sitatetereka!!!Mbona wealishapotea, wapotee mara ngapi??
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
Chanzo: EATV
My take:
Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.
Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.
Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
Upinzani uliopo ni masalia. Yaani hauna jipya. Yaani ulishakufa siku nyingi mno. Tz hatuna upinzani. Rais aliposema mtu yeyote aliyepokea mwanachama/wanachama wa CCM aje awapokee pale kibaha mbona walikosekana? Yaani chama sasa ni CCM tu!
kiboko yao nikibiti tu haoMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.